Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Mkubwa kumbe umesoma Turwa,huo mwaka 2000 ulikuwa darasa la ngapi mura.
Mimi mwaka 2000 nilikuwa darasa la nne wakati mwalimu mkuu akiwa ni tayari Maiga huku msaidizi wake akiwa ni mama yake Reginald Mutakyawa
 
2000 darasa la 4...safi sana kamanda..
 
Hata wewe unajua kuandika. You are among the best writers I have encountered. .
 
Ahsanteni sana mods kwa kuniondelea Ban,niliwamiss sana wadau wangu [emoji120]
 
Hiv ndo ww upo unasimulia radio free muda huu kipindi cha sitosahau?
 
Reactions: ABJ
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…