Aisee uyu mwamba ni hatari sikuizi haishiwi vituko
Week kadhaa uko nyuma nilipost umu aliniomba pesa sasa aumekuwa na muendelezo wa vibweka Sana
Kwa tulipofikia chochote kinawezekanaWewe ni me au ke?
Matumizi ya neno mwamba yamenihamakisha kidogo...
sio ajabu hapo c anataka umbebishe na umtumie hela ya juisi sa unashangaa nnAisee uyu mwamba ni hatari sikuizi haishiwi vituko
Week kadhaa uko nyuma nilipost umu aliniomba pesa sasa aumekuwa na muendelezo wa vibweka Sana
"Mfano number yangu anayo na Huwa ananipigia then siku moja asubhi akanipigia mchana nakutana na rafiki yangu ananiambia flani anataka number yako😁🙌"?
Nyingine kubwa Jana usiku anitumia meseji kuwa anaumwa sasa kuumwa ni suala ya kumwambia ex-wako?
Oneni cheni apo
Anyway uyu mtu wangu huenda kunakitu hakipo sawa
nae anampa mbona hamna shida hapoBwana wake je