AiseeeEdit story una haraka ya kwenda wapi
OkayKwa wale wlio wahi kukesha au kuchelewa kulala tupeana mastory.
Kuna siku nilienda Moro aisee nikakutana school mate ile mastory na kuhama vijiwe nikajikuta saa 11 asubuhi hii hapa nililala kwenye bus nastuka nipo ubungo
Tupia mkasa wako hapa!