Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Ni katika kipindi cha MIKASA YA MAISHA NA RADIO FIVE siku ya alhamisi tarehe 16 febr.2012 ambapo palijadiliwa mkasa wa binti mmoja mkazi wa Moshi(alitambulishwa kwa jina la Yasinta) ambaye alitokea kumpenda kijana mmoja alijulikana kwa jina la Abdala mwenyeji wa Tanga.Vijana hawa walipendana sana na hatimaye kuoana wakaelekea Tanga.Kijana alipata kazi dar akamwacha mkewe Tanga kwa wazazi wake.Cha ajabu ni kwamba baba mtu akamtaka binti yake kimapenzi,akamlazimisha mpaka akamnanihii akapata mimba,binti alichunguza na kufahamu huwa kile kitendo kilikuwa cha kawaida katika familia ile,kwa sababu yule mzee alisha wananihii wake wenza.Sasa nauliza hizi ni tamaduni za kabila gani huko Tanga?