Ibara ya 58 ya sheria ya ndoa ya 1971 inasema ( 1 ) inaruhusu makubaliano binafsi kuhusu umiliki wa mali kwa wanandoa na pia inaainisha kuwa ndoa isikuzuie kuwa na chako binafsi.
"Isipokuwa kama kuna makubaliono binafsi ambayo wana ndoa wamefanya basi ndoa isiwe sababu ya mke au mume kupoteza umiliki wa mali yake au kumzuia asimiliki au asishikilie mali kivyake, au kuuza mali
yake."
Umetoa wapi hicho kitu wewe Pasco?!ndoa ikivunjika mali zinazogawanywa ni za mume tuu hata kama mke ana mali zake
Mke/mume ataziandikisha kama mali binafsi za mwanandoa husika na ndoa ikivunjika zinabaki ni za mwanandoa husika.
Ndoa hufungwa rohoni tu, lakini sheria za Tanzania ni kama wimbo wa kigeugeu