Mikataba kwenye ajira binafsi

Mikataba kwenye ajira binafsi

Joined
Oct 4, 2015
Posts
25
Reaction score
10
Hawa waajiri hasa waajiri wa kigeni (foreigners) hawapendi kabisa ishu ya mikataba, wanapenda kuajiri kisela sela sana, yaani mnaelewana kwa mdomo tu kwamba mtalipana kiasi fulani cha pesa kwa muda fulani basi.

Sasa changamoto inakuja kwenye malipo ni kasheshe, wananyanyasa sana wafanya kazi inapokuja kwenye suala la malipo.

Ni wapi ama ofisi ipi katika ngazi ya wilaya inahusika kupokea malalamiko haya na kuyafanyia kazi?

Naomba msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom