You know what? Mazingira huwa ni chanzo kikubwa kwa wahusika kusaini mikataba bila ya kufahamu ama kuelewa vyema vifungu vyote vya mkataba pamoja na madhara yake, regardless mkataba una faida kias igani. Wakati umefika sasa, hata kama dini ya kikristo inaonyesha kifo ndiyo kitu pekee cha kuvunja mkataba, bado watu wanaweza kufunga ndoa mahala pengine ambako kipengele hiki no option mfano wilayani. Hapo watu watakuwa free kuachana na kuendelea na maisha mengine pale watakapotambua kuwa walifanya makosa kwenye kuchaguana!