pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Majuzi nilisoma uzi wa ndugu yetu Mayala Pascal unaoelezea namna tulivyoingia mikataba ya hovyo kabisa ya Gas yetu ya Mtwara kwa wageni kijinga kabisa.
Nimejiuliza sana haya;
1. Nini kilitokea hadi wabunge wakapitisha mikataba ile kwa 'hati ya dharura'?
2. Kwanini wabunge wa upinzani walikataa hili na kutoka nje baada ya kushindwa kwa 'hoja hasi' za wabunge wa ccm?
Inauma sana, inasikitisha sana, kumbe akina 'Sultani Mang'ung'o' bado wapo Tz ya leo tena wenye dhamana kubwa hivi?