Mikataba tunayoingia itamwaga damu za Wajukuu zetu

Mikataba tunayoingia itamwaga damu za Wajukuu zetu

Mr mutuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2023
Posts
2,869
Reaction score
14,501
Kwa aina hii ya mikataba ambayo haina kichwa waa miguu, baada ya Miaka kama 50 Tanzania tutapata kizazi ambacho kitakua kinajielewa, achana na kizazi hiki cha kunywa visungura, sijui double kiki, yokozuna na vitoko sijui.

Watakapotaka kutumia rasilimali zao kuendeleza taifa ndo watakuta Kila kitu tulishawapa wageni, itabidi wapigane wamwage damu mara ya pili ili wapate uhuru tena, na tutaingia kwenye historia ya vitabu vyao kama mababu wapuuzi sana.

Sijui nafsi za mababu zetu waliokufa wakidai uhuru zipo kwenye hali gani sasa hivi?
 
Back
Top Bottom