S shoobl New Member Joined Mar 7, 2006 Posts 1 Reaction score 0 Sep 29, 2011 #1 Hukumu ya Mahakama Kuu kwenye kesi ya TANESCO Vs Dowans inatufundisha nini? Nani mshindi? Kutofautiana kwa Mihimili inayoongoza nchi kwenye suala la Ajira ya Mzee Jairo nani alaumiwe? Je nafasi ya vyombo vya habari imetumika vizuri?
Hukumu ya Mahakama Kuu kwenye kesi ya TANESCO Vs Dowans inatufundisha nini? Nani mshindi? Kutofautiana kwa Mihimili inayoongoza nchi kwenye suala la Ajira ya Mzee Jairo nani alaumiwe? Je nafasi ya vyombo vya habari imetumika vizuri?