Tusichoshane, moja Kwa moja kwenye mada.
Huyo mwanasheria aliyeonyesha MIKATABA ya Kagoma kuna maswali hapa atusaidie, inaonekana HAJUI kuwa HAJUI! Inawezekana huyu mtu ni aina ya wale wasomi darasani katika mitihani walikuwa ni wazuri lakini mpe Kazi NI sifuri kabisa 0%. Theory 120% sasa njoo ktk Practical ni 0%!
Atusaidie kujibu:
Mosi; Mkataba ulikuwa ni mkataba Kwa ajili ya nini?
Pili; Je, huo mkataba ulikamilika au bado haujakamilika?
Tatu; Na Kama ulikamilika, ulitakiwa upelekwe wapi yaani uwasilishwe wapi?
Nne; Na kama ulitakiwa baada ya kukamilika kuna mahali uwasilishwe, je, kuna deadline ya uwasilishwaji? Au ni Kama mkataba wa mauzo ya mashamba ukimaliza unaweka kabatini au sandukuni unasubiri Hadi pakitokea mgogoro ndio unautoa.
NB: Suala la usajili dirisha lilishafungwa mwezi uliopita.
Swali:
Wewe mwanasheria ulikuwa hujui kuhusu muda wa usajili?
Na je, Kama ulikuwa kweli serious na hili suala Kwa nini hukuweka pingamizi kabla ya dirisha kufungwa?
Soma Pia: Mwanasheria wa Yanga: Mchezaji Yusuph Kagoma alisaini mkataba wa miaka mitatu na Yanga
Je, wewe unaona ni Sawa mapambano hayo badala ukapambane na hao wahusika, wewe unatuletea kelele mtaani! Kwani Sisi ata tukisikia tutasaidia nini? Ebu practise hayo ya mahakamani uyaelimishe katika jamii.
Mwanasheria ni mtu Kioo ktk jamii kuhusu Sheria, Nina maana unatupa funzo kwamba Kama kuna kitu labda sijaridhika nacho hata nikienda mahakamani, inabidi nipite tena mitaani na ktk vyombo vya habari kutangaza, hii ni Sawa? Hivi ndivyo mnavyofanya ktk suala hili.
Unaonyesha mkataba Umesainiwa na Kijana, Kwa iyo ulikuwa hujui wapi pa kuupeleka ukasajiliwe? Au ulifikiri huo ni mkataba wa kuuziana shamba umekamilika ukautunza kabatini, Hadi Simba wanakamilisha mkataba kuusajili, wewe sasa unaleta Nongwa.