THE POWER AND THE VAINGLORY:
Anatomy of a $100 Million Malaysian IPP in Tanzania
Brian COOKSEY
Rutabanzibwa's former assistant, Prosper Victus, also testified that he was offered a similar amount to keep key information from Rutabanzibwa. Victus also implicates Mary Ndosi (later Maria Kejo), the state attorney who endorsed the IPTL contract on behalf of the government: ‘When she telephoned me, Mrs Ndosi said … that "we want you to help us get this power project approved" and then she reminded me that Mr Rugemalira would give me 100,000,000 Tanzanian Shillings if the IPTL project were approved. I was shocked to learn that Mrs Ndosi had apparently been corrupted by Mr. Rugemalira.' (Witness Statement, 19 April 2000, p. 3).
Another former assistant, Esther Mzunzu, testified to the Prevention of Corruption Bureau that she accepted a bribe from Rugemalira, albeit a rather small one. She alleges that Rugemalira came to her office sometime in December 1994 and said: "If our proposal goes through, I can give you money. How about $20,000?" She claims that she refused, but later accepted Shs100,000. Her generally pro-IPTL behaviour suggests that, if she only received Shs100,000, she was cheap at the price.
In a long letter to Attorney General Andrew Chenge, Rugemalira defends himself against these accusations and claims, as he has done many times before, that there is a conspiracy between Songas and the World Bank to drive him out of the market. He also announces his intention to sue Rutabanzibwa, Victus and Masunzu for personal defamation. Unless IPTL wins the arbitration case, James Rugemalira's days of unbridled hubris are behind him, and it would serve as an object lesson to like-minded international corrupters if the roles of Wärtsilä, Mechmar, Sime Bank, and Bank Bumiputra in this entirely unseemly saga were to be fully investigated.
Wanabodi:
Kama kuna chanzo cha uhakika cha mikataba mibovu basi ni ofisi ya mwanasheria mkuu!!!
- Ofisi ya mwanasheria mkuu ndiyo yenye majukumu ya kuangalia ku-authenticate kuwepo au kutokuwepo kwa kampuni iwe feki au halali
- Ofisi ya mwanasheria mkuu ikisema jambo hakuna waziri au mamlaka nyingine yeyote yenye uwezo wa kufanya tofauti. hatukuona ikithubutu kusema lolote kwenye hili la RICHMOND
- Kwenye issue ya RICHMOND ni Tanesco iliyoonyesha umakini, wakati ofisi ya mwanasheria mkuu ikiwa imenyamaza kimya!
- Hata hela BOT zisingekwibwa kama wanasheria wangekuwa makini na kazi zao
- Kitivo cha sheria cha UDSM, kitivo cha kwanza kabisa cha UDSM kimeabishwa na matokeo ya graduates wake ku-saini utumbo!!
- Tunaomba chama cha wanasheria (TLS) kitoe tamko kuhusu utendaji dhaifu wa ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.
- Tunaomba Kitivo cha sheria cha chuo kikuu cha Dar es Salaam kitoe karipio kali kwa wanasheria wake waliohusika kwenye mikataba mibovu.
- Mwanasheria mkuu wa serikali alistahili kuwa mtu wa kwanza kuachia ngazi na kuomba msamaha kwa kusababisha waziri mkuu na mawaziri wawili kuachia ngazi...kwa kuwa ofisi ile ingefanya kazi yake... basi tusingeingia mkataba na non-existence company...
- Ofisi hiyo ndiyo yenye kuangalia risk za mikataba kwa taifa...
Inawezekana nimepitiwa na jambo,,, naomba kusaidiwa wapi kamati ya Dr. Mwakyembe ilionyesha kwamba ofisi ya mwanasheria mkuu iishauri serikali iisiingie mkataba na Richmond, kampuni ambayo inasemekana haipo?
Kumbukeni:
Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali...
1. Mjumbe kwenye baraza la mawaziri
2. Mjumbe kwenye GNT
3. Mjumbe sijui kamati ya ....
Kila mahali ilikuwepo
Waziri Mkuu mara baada ya kupitishwa alisema "yaliyopita si ndwele, tugange yajayo" kuhusu swala hili, leo anakuja na statement tofauti bila hata ya kuielezea statement yake ya kwanza.
Viongozi wetu wana matatizo ya kujisemea mambo bila kupanga wala consultation, sasa tuelewe kipi? Yaliyopita si ndwele au waliosaini mikataba watashughulikiwa? Au ile "yaliyopita si ndwele" ilikuwa kwa mkulu Lowassa tu na hivi vidagaa vingine tutavitoa bangusilo?
Inabidi kauli za viongozi wa kitaifa zipimwe kabla ya kufakamia vinasa sauti, mara nyingine "no comment" au tunajadiliana cha kufanya" inatosha, otherwise ndiyo mambo haya ya flip flopping na mixed signals katika jitihada za kum please kila mtu while hakuna cha maaana kinachofanyika.
Mpaka nitakapoona watu wanashughulikiwa mi naona haya ni mazungumzo baada ya habari tu, in other words populist propaganda.
Waziri Mkuu mara baada ya kupitishwa alisema "yaliyopita si ndwele, tugange yajayo" kuhusu swala hili, leo anakuja na statement tofauti bila hata ya kuielezea statement yake ya kwanza.
Viongozi wetu wana matatizo ya kujisemea mambo bila kupanga wala consultation, sasa tuelewe kipi? Yaliyopita si ndwele au waliosaini mikataba watashughulikiwa? Au ile "yaliyopita si ndwele" ilikuwa kwa mkulu Lowassa tu na hivi vidagaa vingine tutavitoa bangusilo?
Inabidi kauli za viongozi wa kitaifa zipimwe kabla ya kufakamia vinasa sauti, mara nyingine "no comment" au tunajadiliana cha kufanya" inatosha, otherwise ndiyo mambo haya ya flip flopping na mixed signals katika jitihada za kum please kila mtu while hakuna cha maaana kinachofanyika.
Mpaka nitakapoona watu wanashughulikiwa mi naona haya ni mazungumzo baada ya habari tu, in other words populist propaganda.
......pamoja na kusema yaliyopita si ndwele tugange yajayo sidhani kama alimaanisha kuwa issues ata stake ndiobasi..............MP alisema pia kuwa mapendekezo ya tume yatafanyiwa kazi...isipokuwa mengine yatachukua muda......
kinachonishangaza.......hizo hasara anazozichunguza hivi sasa ni zipi tena, wakati tume ilishamuambia tunaingia hasara ya 152 million per day???!!!!!!!...na waliohusika na mikataba wametajwa.........
MP ondoa hao kwa manufaa ya umma.....PERIOD
Ogah,
Tatizo linakuja "yaliyopita si ndwele" na "mapendekezo ya tume yatafanyiwa kazi" ni kauli mbili contradictory.Which is exactly my point, inabidi wawe makini na kauli zao sio kujisemea mambo kwa vi-methali vague tu kisha kuji contradict.
Kwangu mimi "yaliyopita si ndwele" maana yake "let's forget what happenned, let's start afresh" (if not then ni ndwele).Sasa kama yaliyopita si ndwele mapendekezo ya tume yanafanyiwa kazi ili iweje na kwa sababu gani?
Foot-in-mouth disease inaanza mapemaaaaaa!