Mikataba ya maslahi kwa taifa letu

newmzalendo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
1,385
Reaction score
568
NAOMBA tuweke list ya mikataba ya kitaifa inayosiniwa na viongozi wetu kwa kutuwakilisha watanzania.e.g Mikataba ya Mafut,Ges,Ulinzina Madini,Mali Asili,Ardhi etc

1.Richomnd na Tanesco(wizara ya nishati na madini
2.Richmond na DOWANS (Tanesco)
3.
4.
5.
6.
The list goes on...

Nia na lengo tuwe na uelewa wa mikataba viongozi wetu wanayoingia kwa niaba yetu.na pia tutaweza kupima uwezo wa viongozi wetu kiuzalendo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…