Mikataba ya Serikali na Privata Companies /Taasisi za kimataifa

newmzalendo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
1,385
Reaction score
568
wapi naweza kupata mikataba kati ya serikali na Makampuni binafsi/taasisi za kimataifa.Je Wizara ya sheria au kwa mwanasheria mkuu wanayo hii mikataba ambayo tunaona Ministers and Makatibu Wakuu wakisign na kushake hands ktk magazeti na TV .
hi public libraries zinaruhusiwa au kuzuiwa kisheria kutunza kumbukumbu ya mikataba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…