Mikataba ya wawekezaji sekta ya elimu

D 2de A

Senior Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
183
Reaction score
32
Wakuu naomba kujua sheria za uwekezaji wa elimu kutoka nje inasemaje kuhusu wafanyakazi wa nje wanatakiwa kuwa wangapi
Hapa nalenga mtu amekuja kutoka china kufungua chuo kikuu hapa nchini je malecturer wa china hawatakiwi kuzidi wangapi?
 
dah!msaidien anayefaham bac!
 
mkuu nahitaji kujua kwan nimesikia tetes hivyo nahisi vyuo vingi vinavunja sheria kwakuzidisha idadi ya malecturer wageni
 
mkuu MCNGAPORE nashukuru kwakutambua umuhimu wa swali langu
 
inasemekana malecturer wagen hawatakiw kuzidi 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…