The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Kama mwanaume mtanashati kuna vitu vitatu ambavyo ni foundation ya kupendeza "
1. KIATU
2. MKANDA
3. SAA
Hi vitu mara nyingi kwa hulka za kiume ni mara chache kumkuta mwanaume ana mikanda zaidi ya 5,mimi huwa ninayo mi nne miwili ya nguo za aina ya kiofisi,miwili ya majinsi na pensi baas,na saa huwa ninazo mbili tu yakiofisi na kimajinsi .penye viatu ni papana naomba niparuke,nikimbilie saa kuna saa zinafiti mazingira yote mfano michael kors golden,ila sasa kuna mkato mwingine nimeuona kwa jamaa angu nimeupenda unaitwa NIXON GOLDEN ase watanashati wenzangu naomba muutathmini nimeugoogle nauattach ,ntafurahi mkinipa tathmini zenu pia.maana nataka nunua saa bajeti yangu Tshs 450,000.00