Mike Tee, Dhahabu iliyopotea

Mike Tee, Dhahabu iliyopotea

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
2,818
Reaction score
3,730
Nadhani wote tunamjua jamaa
mike-tee.jpg


mike_tee.jpg


Mziki wake ulikuwa miaka ya 2000 lakin ukiisikiliza Leo anaweza wafunika hata Hawa mcees wa sasa. Najiuliza kwann jamaa aliamua kuacha kuimba? Mbna alikuwa na kipaji kikubwa tu?
Yupo wap sasa hv ?
 
Kama mike tee ningekuwa staa, Kama ningekuwa na mkwanja kachaa , Kama ningekuwa ni mrefu na mfupi kachaa, Iringa town ningekuwa balaa.. Nilikuw namkubal Sana hivi yuko wapi mwenye pic yake atuwekee
Siyo yeye tu alikuwa mkali bali waimba bongo fleva wote wa kupindi hicho walikuwa wamesimama!
 
Mike Tee kwa flow zake na mziki wa sasa hivi atasubiri sana
 
Kama mike tee ningekuwa staa, Kama ningekuwa na mkwanja kachaa , Kama ningekuwa ni mrefu na mfupi kachaa, Iringa town ningekuwa balaa.. Nilikuw namkubal Sana hivi yuko wapi mwenye pic yake atuwekee
hatari sana hyo alafu inakuja je utanipenda
 
Mara ya mwisho nilisikia kuwa na ceo wa showbizzdefined nayo sasa hv chali..... Kweli mziki ni wa watu wawili tu
 
Kwasababu mziki ulikua haumlipi, hata akisema arudi tena sasa hivi ndio kabisaaaa, bongo fleva imekua ni ya watu wawili tu.
ah hahahaha naomba usiwataje tafadhali mana team u.pu.pu zitatoka huko vichochoroni zije kupigana hapa
 
Back
Top Bottom