johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,730
Siyo yeye tu alikuwa mkali bali waimba bongo fleva wote wa kupindi hicho walikuwa wamesimama!Kama mike tee ningekuwa staa, Kama ningekuwa na mkwanja kachaa , Kama ningekuwa ni mrefu na mfupi kachaa, Iringa town ningekuwa balaa.. Nilikuw namkubal Sana hivi yuko wapi mwenye pic yake atuwekee
hatari sana hyo alafu inakuja je utanipendaKama mike tee ningekuwa staa, Kama ningekuwa na mkwanja kachaa , Kama ningekuwa ni mrefu na mfupi kachaa, Iringa town ningekuwa balaa.. Nilikuw namkubal Sana hivi yuko wapi mwenye pic yake atuwekee
lakini alikimbiza enzi hzoMike Tee kwa flow zake na mziki wa sasa hivi atasubiri sana
kweli mkuu japo kidogo solo yupo yupoWengi tu walikuwa wanajua na sasa hawasikiki tena, kama kina SoloThang, Soggy Doggy, n.k
ahhahahahah mkuu avatar yako nzuuriiiiKila zama na nabiii yake
Hata Mimi kwa kweli nazitafuta SanaI miss bongofleva old school
Kama nyama hatuli ata supu tucnywe?ahhahahahah mkuu avatar yako nzuuriiii
I real miss those days kwakweli...Bongoflava ilikuwa ina ladha yake aiseeehSiyo yeye tu alikuwa mkali bali waimba bongo fleva wote wa kupindi hicho walikuwa wamesimama!
ah hahahaha naomba usiwataje tafadhali mana team u.pu.pu zitatoka huko vichochoroni zije kupigana hapaKwasababu mziki ulikua haumlipi, hata akisema arudi tena sasa hivi ndio kabisaaaa, bongo fleva imekua ni ya watu wawili tu.
Teh teh teh, kwa kweli watatuharibia uzi ndio mana sijawataja.ah hahahaha naomba usiwataje tafadhali mana team u.pu.pu zitatoka huko vichochoroni zije kupigana hapa