Basi kama twaliijua hilo tusiwe mellow dramatic when someone diesKifo ni kwa yeyote, haijalishi umri.
Mazoezi simchezoMiaka 56 Bado sana jaman,daa maradhi yatamwondoa
DMX kuna kipindi alijiunga na kina Masanja akawa anakula sadaka za waumini wake kupitia mgongo wa dini.Uzee unakujaga na mengi mno.
Mzee Mwinyi anaichungulia 100, lkn bado anafanya mazoezi ya kukimbia.Miaka 56 still young. Kuna watu wa 70 bado wanadunda fresh
Labda kazi zake ndio zimemtia maradhi
Kweli, huo umri siyo mkubwa..Miaka 56 Bado sana jaman,daa maradhi yatamwondoa
Unasema mama yako?watu tumekaribia hiyo 50 ila tunaishi kama tuko 30sMama angu anatimiza 50 mwez ujao....namwona Bado sana jaman
Raila odinga ana 77 anautaka uraisKweli, huo umri siyo mkubwa..
Tyson wa Tanzania (Stephen Wasira) ana 77 Lakini bado yupo fit tuu!
🤣🤣🤣🤣🙌Unasema mama yako?watu tumekaribia hiyo 50 ila tunaishi kama tuko 30s
Hapo ndipo sir god alipokoseaDuniani wote tunapita,hakuna atakayebaki humu milele...
Mzima huyo wa afya,uzee operesheni na matibabu ya hapa na pale haviepukiki.Miaka 56 Bado sana jaman,daa maradhi yatamwondoa
Mwangalie biden, pelosi n.kMiaka 56 still young. Kuna watu wa 70 bado wanadunda fresh
Labda kazi zake ndio zimemtia maradhi
Hakika..Mzima huyo wa afya,uzee operesheni na matibabu ya hapa na pale haviepukiki.