Tyson alikuwa hard puncher mzur na hapigiki when he was at his prime in 89s,,
ila ujana, pombe na anasa zilichangia sana kumuondoka uyu mwamba kwenye ubora wake,,
Evender alikuwa mbishi sana uyu mwamba anameza ngumi tu na aliweza kumaliza round 15 na hard puncher Kama The Big George foreman na akashinda,,Tyson nae akamkalisha.
Lenox was the best of them alikuwa na power , displine and a skilled boxer .
Wote hao juu walikalishwa na huyu mwamba,.
Lenox vs Big Dady nazani lingekuwa pambano nzur Sana.