Wana habara wa enzi hizo walim'over rate' mno Tyson kuliko uwezo wake halisi na ndio maana alipoteza kirahisi mapambano yake na Evander pamoja na Lewis Lennox.Upo uwezekano pia angedundwa na David Tua

sio kumu over rate ,the man was in deed the baddest man on planet ,amewahi kuwakaliza watu kwa sekunde kwa mfano alimpiga jamaa fulani kwa sek 91 pambano likaisha