Mike Yeadon, former chief scientist at Pfizer, says it is too late to save anyone who has been injected with the so called Covid-19 vaccine.

Mike Yeadon, former chief scientist at Pfizer, says it is too late to save anyone who has been injected with the so called Covid-19 vaccine.

Mathanzua

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
17,251
Reaction score
22,929
Mike Yeadon, former chief scientist at Pfizer, * said it was too late to save anyone who was injected with a Covid-19 vaccine. He urges those who have not yet received the injection of the deadly compound to fight for the continuity of human beings and for the lives of their children.

The world-renowned immunologist goes on to describe the process that he believes will kill the vast majority of people who are now alive. Immediately after receiving the first injection, about 0.8% of people die within two weeks. Survivors have an average life expectancy of 2 years, but life expectancy decreases with each booster injection. Complementary vaccines are being developed to cause the breakdown of specific organs, such as the heart, lungs and brain.

Having been intimately familiar with the workings and research and development goals of pharmaceutical giant Pfizer for two decades, Professor Yeadon says the ultimate goal of the vaccination regimen currently administered can only be a mass depopulation event, which will cause the combined look of all world wars. like a Mickey Mouse production.

"Billions are already doomed to certain, unchanging and excruciating death. Each person who has received the injection will surely die prematurely, and 3 years is a generous estimate of how long they can expect to stay alive."

EXCLUSIVE - Former Pfizer VP: ‘Your government is lying to you in a way that could lead to your death.’
 
Wazungu wana nia gani na ulimwengu huu?

kwa nini wanataka kupunguza atu kimtindo huu?
 
Kama ni kweli hii..........................................
 
Kama ni kweli hii..........................................
Na kwa nini isiwe kweli mkuu.Kama umeamini uliyofunfishwa
chuoni kwamba ni kweli,basi hii ni kweli zaidi.Na kama ulichukua masomo ya "Ngwini"(masomo ya Arts),ndio usiseme,huko ndiko elimu fake ilipo jaa,afadhali Science.

Kumbuka mkuu kwamba aliyeongea haya ni mtu aliyekuwa wa ndani kabisa Pfizer.

Mkuu haya mambo tulisema yapo siku nyingi sana,watu hawakutuamini,na bado mnaendelea kutoamini wakati tayari kumekucha!Angalia hawa 👇wanakumbuka shuka wakati kumekucha!

Mimi kiukweli niseme kiujumla wanadamu tu-wajinga sana,yaani tulishindwa kabisa kujua kwamba kuna watu waliokua wanapanga mikakati ya kutuua!Very stupid.

IMG-20210504-WA0016.jpg


IMG-20210505-WA0001.jpg
 
Naomba nikurekebishe mkuu,sio Wazungu wote ni wabaya,wabaya ni kikundi cha watu kama 10,000 hivi.Wazungu wengine wote wanateseka kama sisi tu,ingawa kwa kiasi fulani wanakuwa kama na huruma hivi kwao.

Hawa watu ni watumishi wa Shetani 100%,kwa hiyo anawatumia kutekeleza malengo yake duniani,ambayo ni "kuua,kuiba na kuharibu." Hii ni kwa mujibu wa Biblia.Notice "kuua," ambalo ndilo tunaloliongelea hapa.

Hawa watu pia wanataka watufanye tuwe watumwa wao, katika utawala ambao utakuwa wa kiimla na ukatili kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa na wanadamu.

Hii itatokea na kutekelezwa katika Mfumo Mpya wa Dunia(New World Oder) au Serikali moja ya Dunia,ambayo tayari makao yake makuu yako Jerusalem!Hii sio hadithi,it is a fact.

Hata hivyo kikundi hicho cha watu kinaona kwamba idadi ya watu iliyopo sasa duniani ni kubwa mno.Wanasema wengi wetu hatuna faida yeyote kwa dunia,badala yake tunaiharibu tu!Kwa hiyo wanataka kutupunguza mpaka kufikia watu million 500.Wanafanyaje hii kazi?Mbinu ziko nyingi,ila zinatumiwa kwa usiri mkuu ili watu wasistuke!Sasa ndio kidoogo watu wameanza kustuka.

Mbinu hizi ziko wazi kwa mtu makini,ila si rahisi kwa watu wasio wadadisi, kwa kuwa zinaletwa na kutekezwa kama vitu vizuri.Hivi mkuu uzazi wa mpango si unaonekana kama kitu kizuri,lakini ni mbinu yao moja wapo.

Niseme tu kwamba kazi ya kuua watu inaendelea,tena kwa kazi zaidi sasa kuliko hapo zamani.Swala la C-19 ni mkakati ambao watautumia sana katika kufanikisha lengo lao hili ovu katika hatua hizi za mwisho wa mpango wao.Nadhani sina haja ya kuongeza,

Mike Yeadon, ameweka kila kitu wazi.​

Hapa sidhani kama una fact ila uko possessed na imani
 
Hapa sidhani kama una fact ila uko possessed na imani
Mta-deny facts mpaka lini?Halafu hiyo sio imani mkuu,ni facts.And then look at these people👇,they are protesting against the C-19 hoax.Tatizo hapa nini nini,sisi sote kama wanadamu tume-deny facts kama unavyo endelea kufanya for a very long time,kwa maana kwamba hatukuchukua hatua mapema,sasa yametukuta!Haya maandamano ya sasa is too little,too late,humanity as we know it is gone.

IMG-20210505-WA0001.jpg


IMG-20210504-WA0016.jpg


IMG-20210504-WA0010.jpg
 
Nahisi hukunielewa mimi sikuwa napinga maswala yako kuhusu yule dr mimi huko kwenye new world order hapa sijaona fact bali kuwa na imani Zaid
Pilato utakuwa extremely wrong kutenganisha whatever is happeming in the World with spiritual faith.The two are 100% related.What you see has a spiritual dimension.
 
Jiandaeni kisaikolojia ... chanjo inakuja
Mkuu, kwa movement za sasa hapa muda si mrefu Wenye mamlaka watatuingiza mkenge
Lipo shinikizo kubwa kutoka NWO,kwa hiyo itakuwa vigumu kama nchi kukwepa.At time t kwa hiyo,kila mtu itabidi abebe msalaba wake.

Ila kukubali itakuwa ni ujinga,kwa kuwa itakuwa umekubali kifo na kutengwa na Mungu milele.Tusisahau kwamba this injection has the capacity to destroy the God gene.Mimi siiti hii chanjo,kwa kuwa sio chanjo,ni programme ambayo iko designed to re-programme the DNA.
 
Naombeni kuuliza. Hao wanasayansi wenyewe huwa wanatumia mbinu gani ya kujilinda ili madhara yasiwarudie? Kwa mfano, wanatengeneza virusi ila na wao wamo humu humu duniani au wanaishi sayari nyingine?

Kwa mfano, kama wametengeneza virusi vya Corona na wamo humu humu duniani, ina maana wamepata chanjo kwa sababu na wao ni binadamu kama sisi au ipoje?
 
Mkuu, kwa movement za sasa hapa muda si mrefu Wenye mamlaka watatuingiza mkenge
Naona Mama katoka kuongea na Mkurugenzi wa IMF na wale ili wakupe mikopo usikute wanakuambia ukitaka chukua chanjo kwanza, alafu kaenda Kenya huko kina vikao kibao sijui Barozi wa Umoja wa Mataifa sijui nani ila eeh itoshe tu kusema Mama ataleta Chanjo.
 
Naombeni kuuliza. Hao wanasayansi wenyewe huwa wanatumia mbinu gani ya kujilinda ili madhara yasiwarudie? Kwa mfano, wanatengeneza virusi ila na wao wamo humu humu duniani au wanaishi sayari nyingine?

Kwa mfano, kama wametengeneza virusi vya Corona na wamo humu humu duniani, ina maana wamepata chanjo kwa sababu na wao ni binadamu kama sisi au ipoje?
Mkuu kwa swala la Corona hakuna shida sana,kwa kuwa ni tatizo la kugushi,kitaalamu huo ugonjwa haupo,ila kama watakuwa karibu na mtu aliyechanjwa,kuna kitu,kinaitwa "Anti-dote." Hizi wanazijua na zipo kwa kila tatizo ambalo wanalo-tengeneza,ila wanaficha.Kwa mfano kwa contagion ya C-19,IPO antidote inayoitwa Suramin.Hii inapatikana kwenye Pine needles.Unachemsha tu Pine needles halafu unakunywa ile chai yake.Mwisho wa comment hii,nimeweka taarifa kamili ya hivyo antidote.Isome mkuu, for sure the C-19 shot is coming to Tanzania.

Nafurahi kwamba watu wengi wameshaanza kujua C-19 ni tatizo la kugushi.Hebu angalia picha zifuatazo uone jinsi watu duniani wanavyo anza kuamka na kuujua ukweli.

IMG-20210505-WA0001.jpg


IMG-20210505-WA0000.jpg


IMG-20210504-WA0016.jpg


IMG-20210505-WA0009.jpg


Hayo 👆 ni maandamano yaliyofanyika London kupinga masuala ya C-19.
 
Daah Hii Simba vs Yanga naona mkeka unachanika au inakuaje mkuu?
 
Hyo inaitwa AJALI KAZINI
Naombeni kuuliza. Hao wanasayansi wenyewe huwa wanatumia mbinu gani ya kujilinda ili madhara yasiwarudie? Kwa mfano, wanatengeneza virusi ila na wao wamo humu humu duniani au wanaishi sayari nyingine?

Kwa mfano, kama wametengeneza virusi vya Corona na wamo humu humu duniani, ina maana wamepata chanjo kwa sababu na wao ni binadamu kama sisi au ipoje?
 
Back
Top Bottom