Mike Yeadon, former chief scientist at Pfizer, says it is too late to save anyone who has been injected with the so called Covid-19 vaccine.


Mkuu taarifa tunazoziona huwa tunazichukua tu kama za kina msukuma tu au pia na facts check pia japo kidogo?

Hivyo wewe ukisikia kuna jamaa kasema wewe ni nyani utakuja hapa na uzi kuwa kumbe hukujua mapema kuwa wewe kumbe ni ringedere rire renyewe kabisa?

Mbona kazi! = kazi kweri kweri! = hiiiiii bagosha!
 

Taarifa ninazo leta ni authentic,uncompromized and independent,tofauti na taarifa za mainstream media kama BBC,Aljazeera,CNN na parots wao kama ITV,Azam etc.Hayo tunayaita matango mwitu,udaku or fake news.Mkuu,hulazimishwi kupata taarifa authentic,kama umezoea udaku wa Clouds,Azam, ITV nk.,endelea nao tu.
 

Sawa mkuu.

Ila sina hakika hizo mainstream media information unazozungumzia zinahusiana vipi na "fact checking" ya chochote ninayoiongelea miye.

Labda rejelea nilichokuandikia mkuu utakuwa hujanielewa. Ila kwa hotuba ya mama leo - jambo la kheri sana kwani zama mpya zimezaliwa.
 
Hapana hiyo God gene sijui umeitoa wap?? Hivi vitu vinaandaa anguko la babeli ila si kwamtazamo wakoo
 

Ahahahahah hii fact umeitoa wapi mkuu? Chanjo ipi? Pfizer? AstraZeneca? Moderna? Au ipi?
Source of your data?
Shots zote basically zinafanana.Have you ever wondered why the WHO has never rejected any to be used?Kwa kuwa zote "basically" zina fanana and have the same agenda:genocide and enslavement.

Halafu nikurekebishe,the C-19 shot sio chanjo,ni Microsoft Windows 666 mRNA Operation System,kama umeambiwa ni chanjo umedanganywa.

Halafuu, mimi nimeleta taarifa hii kusaidia watu tu,wala sifaidiki chochote, asiyekubali akae na kile anacho anaamini kwamba ndicho sahihi,na akachanjwe,I do not loose anything,ila sio lengo langu.Lengo langu ni kila mtu
abaki salama bila kuthurika na the C-19 shot.

Finally,taarifa alizoleta Yeadon,sio news,ni taarifa ambazo independent scientists wote tunajua na tunakubaliana nazo na ziko available,wala sio siri,tatizo ni kwamba Watanzania tu wavivu wa kusoma.Bad luck indeed,tutalishwa matango mwitu mpaka tukome.
 
Mainstream media zinahusika na C-19,kwa kuwa ndizo zinazosambaza taarifa za uongo kuhusu C-19 mkuu.
 
Mainstream media zinahusika na C-19,kwa kuwa ndizo zinazosambaza taarifa za uongo kuhusu C-19 mkuu.

Haya ni mawazo yako mkuu unaweza kuwa right au wrong maana wewe si malaika.

Mainstream media ina ripoti kilichopo. Katika vilivyo ripotiwa na mainstream media ni:

1. Israel imefanikiwa kuishinda Corona kwa chanjo na sasa maisha yamerudi kawaida.
2. Germany waliokwisha chanjwa hawahusiki tena na restrictions zozote zilizopo kuhusiana na Corona na maisha yanasonga.
3. Nk. Nk.

Mainstream hiyo. Hawa pia wana fact check kama ambavyo ni haki yetu pia.
 
Hapana hiyo God gene sijui umeitoa wap?? Hivi vitu vinaandaa anguko la babeli ila si kwamtazamo wakoo
Mkuu unakataa science ambayo ipo tayari.Kukataa kwamba hakuna God gene au VMAT 2 gene ni sawa na kukataa kwamba hakuna Photophosphorilation,as scientists tutakushangaa.God Gene inapatikana kwenye Pineal Gland mkuu.
 
Mkuu tatizo ulilonalo ni ufahamu.Hujui nani ana own the Mainstream Media, including even Channels like Clouds. Ni kwamba the Mainstream Media is owned by the NWO cabal.Kwa hiyo taarifa unazozisikia kwenye hizi media ni news to fit their agenda.I hope you know the NWO cabal.Trump called the news fake news,and he was right.
 
Hapana hiyo God gene sijui umeitoa wap?? Hivi vitu vinaandaa anguko la babeli ila si kwamtazamo wakoo
Mkuu nimekuletea taarifa hizi rahisi kabisa kuweza kueleweka kuhusu the the Pineal Gland where the God Gene is located and the God Gene itself.Hii ni science recent,kwa hiyo sikulaumu kutoijua.Agenda yao kubwa iliyoko katika hii chanjo ni kuondoa the God Gene or VMAT2 na hatimaye to exercise full control of you kwa kutumia the Microsoft Windows 666 mRNA Operating system ambayo imo ndani ya chanjo.



 

Mkuu nakazia:

"Mainstream hiyo. Hawa pia wana fact check kama ambavyo ni haki yetu pia."
 
Mkuu nakazia:

"Mainstream hiyo. Hawa pia wana fact check kama ambavyo ni haki yetu pia."
Taarifa za mainstream media sio kwa faida yako mkuu,ni kwa faida ya the NWO criminals and psychopaths.Kama hulijui na kuli-appreciate hili,you are too far away removed from the truth.
 
Ombi lilikuwa chanzo cha takwimu ulizotoa. Sidhani kama ulitakiwa kuweka notice zote hizi mkuu wangu. Hata hivyo, nakinzana na wewe unavyosema chanjo zote ni sawa.
.
.
Kwa uelewa wangu, tayari kuna platform zingine nyingi za chanjo tunazopokea, pamoja na madawa na vitu vingine.. Huyo unayesema anataka kutumaliza kwanini ahangaike na vitu vipya wakati ana njia nyepesi sana?

I do not see any point kwa hoja zinazoletwa.
 
Bi Mkubwa yupo vzr
 
"Independent scientists wote mnajua na mnakubali" nimekuelewa sana hapa
 
Naomba nikueleweshe with all due respect mkuu kwamba dawa zote without exception zina agenda moja tu,depopulation.Iwe Hydroxyhloroquine,Erythromycin, Flagyl,Ciprofloxacin or whatever, hakuna dawa yenye nia njema hata moja.Utakuwa una-jidanganya kudhani kwamba kuna dawa nzuri,hakuna!Zote zina fisha na zina fit in kwenye mpango wa synthesis antisynthesis thesis.

Sikuleta reference yeyote kwa kuwa that is spoon feeding,nimesema taarifa hizi zipo kwenye mtandao tele na infact there are books already written.Do a bit of homework.

Finally kama huamini kwamba kuna depopulation plan,you are too far away removed from the truth.The evidence is all around us,again do some homework utaona.
 
"Independent scientists wote mnajua na mnakubali" nimekuelewa sana hapa
Mkuu by "independent scientists" I mean those scientists who have chosen to be true to science and speak the truth.

On the other hand we have "compromised scientists." Hawa wameamua kusema uongo tofauti na science inavyotaka either for money,or are agents of the NWO cabal or they themselves belong to the NWO cabal and are therefore advancing their agenda.
 
Nakuelewa sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…