Mike Yeadon, former chief scientist at Pfizer, says it is too late to save anyone who has been injected with the so called Covid-19 vaccine.

Samahani mkuu wangu.. But you are all over the place!! Tukae kwa agenda.. Vitabu vyote vimeandika hiyo idadi ya waliokufa?
Depopulation??.. Sijui kama hili neno linatumika interchangeably na population control.. Kama ndivyo basi najua.. Kama ni hapana, ebu nieleweshe.. You mean population iliyokuwepo inauawa?? Is this you refer to depopulation?

Dawa zote zina agenda ya depopulation; Labda hasara/side effects za dawa zinaweza kujustify unachokisema..

Asante kwa mchango!
 
Mkuu sorry I have very little knowledge kuhusu this thing[emoji117][emoji117]NWO even very short or long if you can please bro.
 
Lakini pia bro inakuwaje mfanyakazi wa pfzer hizo chanjo sorry Kama nimekosea ku type anatoa Siri kuhusu hizo chanjo
 
Lakini pia bro inakuwaje mfanyakazi wa pfzer hizo chanjo sorry Kama nimekosea ku type anatoa Siri kuhusu hizo chanjo
Hii inatokea mara nyingi tu mkuu,sio case hii tu.Wengine baada ya kutoa siri wanauwawa in very mysterious circumstances.Wengi sana wanauwawa.

Mkuu wapo waliopo kwenye makampuni yanayotoa huduma au yanayo-tengeneza bidhaa za NWO cabal ambao wanawa-hurumia wanadamu,kwa hiyo wakiona kitu ambacho hakiko sawa,wana blow the whistle,so they are called Whistleblowers.Nadhani unamkumbuka Edward Snowdon,aliyetoa taarifa kuhusu Worldwide surveillance programme ya NASA.Soma taarifa zake kwenye link ifuatayo.


Kwa hii inatokea,sio ajabu.
 
Yes,I am all over the place because the NWO psychopaths and criminals are all over the place.Literally anything you see now is deadly for you:it is a poison.Mkuu are you so blind not to see?The car you drive if you have one is killing you through exhaust fumes,the colour,accidents etc.Your house is killing you through the colour you have painted in your house,the tiles,the microwave which is using EMF waves;the water you drink is contaminated with pesticides,industrial waste and chemicals added in the name of treatment.For Gods' sake these are poisons.The list is long.Poisons are everywhere.

Mkuu the poisons are depopulating the World.Sitaki kuita population control kwa kuwa you are putting a human face on it by using the phrase "population control," the process is evil,psychopathic,so it is depopulation. The motive is also evil.

Finally mkuu idadi ya watu ambao wanakufa kwa C-19 if that is what you mean inakuwa provided kila wakati,na kama una maana target ya depopulation it is also availableTarget population wanayotaka duniani ni 500 million only.
 
Penye uongo mwingi ukweli hujitenga
Chanjo hazijaanza leo
Wanasayansi wafanye haya kwa lipi haswa? Waue kizazi chote ulimwenguni ili iweje?
Kama ukiuugua unabaki nyumbani bila kwenda hospitali basi amini haya yaliyoandikwa lakini kama unaamini ipo tiba mahospitalini basi chanjo itakufaa

Ni ajabu kuamini kinga zingine lakini si kinga ya Covid19
Mwanadamu maamuzi ni yako Mungu alikupa akili na hekima itumie vyema
Kinga zote ni muhimu kwa magonjwa mengi mfano HIV POLIO YELLOW FEVER CHICKENPOX COVID19 MALARIA na kadhalika
 
Mkuu unaweza kuweka link ya taarifa yako hii?
Mkuu mbona unaniuliza kama tuko mahakamani na ni kama taarifa hii huiamini.If you are for the vaccine,ikija chanjwa,hakuna tabu.Sipati faida yeyote kuelimisha watu,after all ninapoteza hela kwa kununua MBs.I am doing it out of love for my fellow Tanzanians.
 
Pakawa uko huru kuchanjwa C-19 shot itakapo kuja.Ila sijui,hivi umefumba macho na masikio kiasi kwamba huoni na husikii kwamba hii shot ya C-19 ni deadly?Are you really so stupid?I do not believe it.
 

Wewe ndio umeweka taarifa ya vifo vilivyotokana na chanjo,ingependeza ukaweka source ili tujue,kwa jinsi ulivyojibu inaonekana source ni wewe mwenyewe....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Wewe ndio umeweka taarifa ya vifo vilivyotokana na chanjo,ingependeza ukaweka source ili tujue,kwa jinsi ulivyojibu inaonekana source ni wewe mwenyewe....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
How can it be,mimi nimewahesabu dunia nzima!Source ipo,lakini kwa kuwa umekuja kwa ku-force sikupi.Uko huru kuamini au kutokuamini.After all siandiki research paper hapa.
 
 
Nitamani iwe kweli ili nipate faida gani?I am sorry,napoteza muda wangu ku-chat na wewe,sio size yangu.
 
kwani hii dunia ni yetu πŸšΆβ€β™‚οΈ πŸšΆβ€β™‚οΈ
 
kwani hii dunia ni yetu πŸšΆβ€β™‚οΈ πŸšΆβ€β™‚οΈ
Sio yetu mkuu,mbona tunapita tu.Nashindwa kuelewa kwa nini watu wengine wanaijali kiasi cha kutaka eti tusiiharibu mpaka wanapanga mipango ya kuua wenzao!
 
Pakawa uko huru kuchanjwa C-19 shot itakapo kuja.Ila sijui,hivi umefumba macho na masikio kiasi kwamba huoni na husikii kwamba hii shot ya C-19 ni deadly?Are you really so stupid?I do not believe it.
Iko hivi Mkuu
Chanjo ni muhimu hivo tu
Tusife na chanjo za polio tuje kufa na chanjo ya covid19?
Isitoshe kufa kupo
Waliopoteza maisha kwa sababu ya vaccine ni akina nani kha


Chomeni chanjo bana hizi ni porojo porojo
Myths zisizo na mshiko
Mzungu sio mpuuzi kiasi hicho
Sayansi ilikuwepo na itaendelea kuwepo
 
Pakawa are you sure chanjo ya Polio haikuwa na madhara?Look here,ni mjinga tu asiyejua kuwa chanjo zote
zina madhara.I can bring you the evidence if you wish.

Nia ya chanjo zote ilikuwa ku-prepare the way for this final bioweapon and "master killer," the C-19 shot.

Pakawa kufa kupo, lakini hatutaki watu wauwawe au wafe kijinga,wafe kwa mapenzi ya Mungu.

Finally Pawaka sikuelewi,are you really human,you are so evil,and you do not seem to have a soul.It seems your Pineal Gland has been destroyed completely.
 
Mimi niliwaza hivi hapo awali kuwa hii chanjo ya Covid inakwenda kubadili DNA sequence.

Kama hutaki kubadili asili yako usipate hii kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…