Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mechi za jumatatu za kutafuta shida sana.
Live score inaonesha mpira unaendelea.
1xbet wanakwambia mpira umeisha dakika ya 45.😂😂😂
 
Mechi za jumatatu za kutafuta shida sana.
Live score inaonesha mpira unaendelea.
1xbet wanakwambia mpira umeisha dakika ya 45.😂😂😂
Yaani nimechapika live leo...nadhani ni siku yake ya kurudisha hela
 
Wakuu Kuna mtu anaweka matangazo ya kampuni ya kubet inaitwa baripesa mbona nmetapeliwa live nimeweka Hela voda wanasema imeenda lkn kwenye account hakna hata mia .[emoji25] Voda wanauliza me nimewajulia wapi ? Nikashindwa nijibu nn
 
Baripesa ndio wapi hao?
Mimi nawajua paripesa na kila siku naweka hela wala hakuna shida.

Hata leo nimeweka hela ni kuwa kwenye app unaingiza amount na moja kwa moja inafunguka prompt ya kuingiza pasaword.
 
Kuweka na kutoa, mwanzoni walikuwa wanaweka na kuondoa mobile payments lkn sasa wana mda mrefu hawajatoa option

Kumbukuka kodi inakatwa kama kawaida

Kwenye kutoa hela ujaze taarifa zako kwa usahihi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…