MIKEY GARCIA Vs ERROL SPENCE Cheche lazima ziwake

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Hii inaitwa nyundo kwa nyundo au chuma kwa chuma yani cheche mwanzo mwisho.

Na kiukweli katika mapambano ambayo nilikuwa ninatamani kuona yakitokea hili moja wapo , na nina tamani sana mmoja kati yao aje apambane na Thurman au Gervonta Davis hakika itapendeza sana.

Mpaka sasa Mikey Garcia amepambana mapambano 39 na ameshinda yote 39 na 30 kati ya hayo mapambano ameshinda kwa Knockout ,na mapambano tisa ameshinda kwa Uninamous Decisions katika uzito wa aina tano tofauti tofauti
kuanzia featherweight, Super featherweight, lightweight ,light welterweight na welteweight.

Na kikubwa ninachomkubali Mikey Garcia hamuogopi bondia yeyote yule ,yupo radhi kupambana na kila bondia ili kuzidi kuonesha ubora wake.


Kwa upande wa Error Spence ambaye amezaliwa 1990 na amepishana miaka mitatu na Mikey Garcia, amepambana mapambano 24 ameshinda yote na 21 ameshinda kwa K.O likiwemo lile pambano dhidi ya Kell Brook.


Je kati ya hawa wawili nani ataendeleza rekodi yake ya Unbeaten???????View attachment 946786
 
Mi nasema Spence atashinda. Kwa decision. Ni stalker, na kama akioutbox vizuri atajiweka mbali na range ya kujkuta anakua KOd.

Ana stamina na pia ana shauku kumzidi Garcia. Rocky anakwambia eye of the tiger.

Garcia ataingia huku anajiamini kwa rekodi yake, oveconfidence itamponza.
Garcia atakua anawinda KO, so namna pekee Garcia atshinda ni kwa hiyo KO.

Fight haitakua ya Mano y Mano kila mtu anajua nguvu ya mwenzake kwenye KO watatumia raundi za mwanzo kukimbiana.
Kuanzia raundi ya 3 Garcia will come out strong expecting to finish the fight, getting himself into more head shots.
 
Naam n kweli pambano litakua Kali sana nategemeaati MTU apigwe kwa ko maana wote hao n othordox kilaa MTU yuko very offensive. Hapo gervonta aka the tank mkuu Huyo dogo anampromotiwa sana na mayweather Ila hana level ya kukaa Sahann moja na Mikey Garcia ,Thurman ,Errol spenc na mtabe Crawford
 
Mkuu Error Spence sio orthodox ni SouthPaw.
 
Tatizo la Gervonta naye anadharau sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…