Simba ilipata bahati ya mtende kwa kumsajili staa aliyeachwa na Yanga, namzungumzia Hamis Kiiza. Licha ya mafanikio makubwa aliyoipatia mikia ndani ya muda mfupi, majungu na lack of professionalism vilimuondoa. Nafasi yake akapewa Mavugo.
Leo hii ni nani atathubutu kusema Diego alikuwa mchovu? Ni striker gani hapo msimbazi mwenye kiwango cha Diego? Ama kweli majuto ni mjukuu!!!
Tangu akiwa Azam Omog sijawahi kuukubali mfumo wake. Pamoja na hayo naamini Kiiza alikiwa na msimu mzuri sana hapo msimbaziMkuu, huyo Mavugo akija Yanga anaweza kugeuka mfungaji bora VPL.
Mfumo wa Omog kujaza viungo katikati kila mechi unamnyima nafasi ya kufanya vitu vyake. Fikiria akiwa Yanga apate supply za akina Msuva, Ngoma, Abdul, Niyonzima nk itakuwa balaa.
Hawa watu wana matatizo zaidi ya tunayo ainisha hapa uzuri baadhi ya viongozi wao huwaambia ukweli.Mkuu, huyo Mavugo akija Yanga anaweza kugeuka mfungaji bora VPL.
Mfumo wa Omog kujaza viungo katikati kila mechi unamnyima nafasi ya kufanya vitu vyake. Fikiria akiwa Yanga apate supply za akina Msuva, Ngoma, Abdul, Niyonzima nk itakuwa balaa.
Hasa Ismail Aden Rage. Huwa hawakopeshi.Hawa watu wana matatizo zaidi ya tunayo ainisha hapa uzuri baadhi ya viongozi wao huwaambia ukweli.
Baada ya mabadiliko ya makocha, Mavugo karejesha liwango chake ukilinganisha na Kiiza?Mkuu, huyo Mavugo akija Yanga anaweza kugeuka mfungaji bora VPL.
Mfumo wa Omog kujaza viungo katikati kila mechi unamnyima nafasi ya kufanya vitu vyake. Fikiria akiwa Yanga apate supply za akina Msuva, Ngoma, Abdul, Niyonzima nk itakuwa balaa.