Kwamba Yanga walicheza na ma gumbootsHongera nyingi sana kwa Mvua na matope.ni msaada mkubwa leo hii kushinda.
Yanga wamekuwa kambale siku hizi?Hongera nyingi sana kwa Mvua na matope.ni msaada mkubwa leo hii kushinda.
SokweliYanga wamekuwa kambale siku hizi?
Ndio wanamchezaji anaitwa Kambale.Yanga wamekuwa kambale siku hizi?
mmeshinda ushindi mzuri.Kwamba Yanga walicheza na ma gumboots
Bahati ilikuwa ni ile jana mlipoifunga 7-0 Ruvu Horoya Shooting. Leo ilikuwa ni siku ya kulipiza tu kisasi.mmeshinda ushindi mzuri.
Yanga bahati inawaangukia sana kwakweli.
SawaHongera nyingi sana kwa Mvua na matope.ni msaada mkubwa leo hii kushinda.
HaswaaaBahati ilikuwa ni ile jana mlipoifunga 7-0 Ruvu Horoya Shooting. Leo ilikuwa ni siku ya kulipiza tu kisasi.
Kunya anye kuku, akinya bata ameharishammeshinda ushindi mzuri.
Yanga bahati inawaangukia sana kwakweli.
Achana nae hukoKwamba Yanga walicheza na ma gumboots
uwa mnabahati sana,kwanini timu isibetishe mashabiki😂😅
Ni siku gani hakuwa kwenye form?Musonda leo alikuwa kwenye form
Nami nilitaka kuuliza hili swaliNi siku gani hakuwa kwenye form?
I mean alikuwa bora kuliko siku zote nilizowahi kumuonaNi siku gani hakuwa kwenye form?