MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Wapendwa, hamjambo? Nimewamiss sana aisee.
Nimejikuta nawaza na kujicheka, hii mikingamo, migongano ya misemo ya mapenzi............................Eti
1. If you love someone, let her/him go (if s/he want to) if s/he comes back to you.......then s/he was meant to be yours .........and yet kwa wengi ukimuacha then ukarudi kumbembeleza imekula kwako - Does it mean hakukupenda kiukweli?
2. Love does'nt ask why and it conquers all,.............. then how comes kunakuwa na so much qualities, criteria and the like katika kumpenda mtu mf. dini, physical features e.t.c - Does it mean kuwa usemi huu ni wa uongo wala hauko practical au wanaopenda kwa kufuata qualities walizojiwekea hawakuwagi na mapenzi ya kweli?
3. Mapenzi ni maua, popote huchanua...............yet wengine wanawezajizuia kupenda watu flan, mf. kabila, rangi, wenye mavazi flan e.tc. - Je ina maana hawa wanaojiwekea frameworks katika mapenzi hawana natural true love?
eh..........Ni mingi tu ambayo hunifanya niamini kuwa hata neno Love kama lilivyokuwa coined na waliotunga misemo hii, ni fake, haliexist! (Soulmate wangu anasemaga, Love is a game (which to me it means that sounds like something coined, something which is not existing - tunaiforce tu)
Naombeni mnisaidie maana naona nachanganyikiwa tu mie MwanajamiiOne wa watu.