Mikoa 20 yathibitisha kuhudhuria kesi ya Mbowe Kisutu Agosti 5, 2021

Lazima kutakuwa na figisu figisu tu za kuzuia watu kuingia mahakamani au Jaji anaumwa hivyo kesi imesogezwa kwa wiki tatu. Wale AXIS OF EVIL Mwigulu Nchemba, ndugai, Majaliwa, Ndugulile, Mpango na Gwajima KE ndiyo wanaodictate hii kesi iendeshwe vipi.
Siasa za bongo utasikia wamesogeza mbele kesi. Nilishasema serikali wamefanya makosa makubwa kumshitaki Mbowe
 
Ila kwenye kuunga juhudi umenikumbusha mbali sana, unamsikiliza mtu hadi anatoa mapovu mdomoni kesho yake kaunga juhudi duuu!
 
Ccm wangeacha kushughulikia maswala ya Chadema na wakaweka focus yao kwenye kupambana na umaskini wanaousababisha wao leo hii tungekuwa mbali sana.

Cha ajabu wao wamefanya kipa umbele chao kikubwa ni kutafuta namna ya kuiua Chadema kwa gharama ya maendeleo na wasifaulu matokeo yake sasa leo hii hata uchaguzi hawataki ufanyike ktk nchi hii.

Sijui itakuwaje pale wananchi watakapoamua kutoshiriki kwenye hizo wanazoita "Uchaguzi" mwaka 2024/2025 pale asilimia kubwa ya wapiga kura watakapoamua kutoshiriki kuhalalisha upuuzi waliochoka nao sasa.
 
Kwa uzoefu wangu hiyo kesi itafanyiwa kwa video conference kati ya Mahakama ya Kisutu na Gereza la Ukonga. Mbowe hawezi kuletwa Mahakamani kwenye kipindi hiki cha COVID 19.

Wana CDM tulieni mikoani msiharibu nauli zenu, mtanishukuru baadaye
 
Si inasemekana itakuwa kwa video?

Amandla....
 
Kwa uzoefu wangu hiyo kesi itafanyiwa kwa video conference kati ya Mahakama ya Kisutu na Gereza la Ukonga. Mbowe hawezi kuletwa Mahakamani kwenye kipindi hiki cha COVID 19.

Wana CDM tulieni mikoani msiharibu nauli zenu, mtanishukuru baadaye
Hataletwa sio kwa sababu ya Covid19. Wanajua akiletwa atawasababishia matatizo ya control umma.

Amandla...
 
Leo kuna Mechi za Kagame cup, Yanga ipo uwanjani na mashabiki tunajazana kama kawaida. Hiyo Covid ni kwa Mbowe tu?
Tatizo lako ni uelewa mdogo.

Huyo Mbowe alienda kuchanjwa.Alikuwa mstari wa mbele kusema Corona ipo.,..

Sasa hivi kwasababu ni kwa maslahi yake,anakusanya watu.

Insane??
 
😂😂😂
 
Laa mama anaupiga mwingi.
 
Hongera wapenda haki wote!
 
Hiyo ni kawaida, hata wewe unayempigania mwanasiasa fulani leo, kesho una haki ya kuunga mkono juhudi pia ukitaka
 
Hujielewi hata unaandika Nini?
 
Mnyika ana mambo ya kizamani sana
Mafuriko hayaachii mtuhumiwa
Hao ndio chadema waliopiga kelele corona ipo,leo KM anahimiza watu wakajazane mahakamani
Malaya wa kisiasa kama wewe huu Uzi hauwahusu!Endelea na safari yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…