kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Ha hahahahaKanda ya ziwa kwa ujumla wao unaongezea na Wanyakyusa hapo πππ
Sio Mtwara peke yenu, hiyo ni wanaume wa sehemu za pembezoni mwa bahari walivyoMtwara tutashika namba moja litapokuja suala kupenda mitulinga na kujua kunyenyekea.
Mbona wacheka mkuu πHa hahahaha
Hivi ni kwa nini?Sio Mtwara peke yenu, hiyo ni wanaume wa sehemu za pembezoni mwa bahari walivyo
Wanaume wapo kanda ya ziwa tuππΉ1.Mara
2.Arusha
3.Mwanza
4.Geita
5.Shinyanga
6.Mbeya
7.Rukwa
8.Katavi
9 Songwe
10.Iringa
Nimefurahi kwanza kukuona Tena,pili hao mabandinduMbona wacheka mkuu π
Wakikusikia watakumada π€£π€£π€£Arusha itoe,wachumba tu hao,bangi ndio zinawapa confidence other wise ni nyoronyoro
Hadi warembo wa arusha wapo π1.Mara
2.Arusha
3.Mwanza
4.Geita
5.Shinyanga
6.Mbeya
7.Rukwa
8.Katavi
9 Songwe
10.Iringa
Nakubali dogoNaomba uwatoe wanaume wa Arusha!
Wana sura nzuri kunizidi.
From Arusha tupoNaomba uwatoe wanaume wa Arusha!
Wana sura nzuri kunizidi.