Mikoa inayoongoza kwa watu wake kujua kusoma na kuandika (literacy rate)

Mikoa inayoongoza kwa watu wake kujua kusoma na kuandika (literacy rate)

Manny de Bwoy

Senior Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
124
Reaction score
125
Mambo vp wadau wa JF naomba kushare nanyi List ya mikoa 10 ya Tanzania bara inayoongoza Kwa wakazi wake Kujua Kusoma na Kuandika (Literacy Rate) na Mikoa 10 ya Mwisho katika kipengele hicho.

Mikoa 10 inayoongoza kwa Asilimia kubwa ya wakazi kujua kusoma na kuandika (Mwaka 2022)

1. Dar es Salaam - 97.5%
2. Kilimanjaro - 94.2%
3. Njombe - 90.0%
4. Iringa - 89.5%
5. Mbeya - 87.9%
6. Ruvuma - 86.6%
7. Pwani - 86.4%
8. Mara - 85.9%
9. Mwanza - 85.6%
10. Arusha - 84.8%

Mikoa yenye Literacy Rate kubwa (80% and above) iliyo nje ya Top 10

11. Tanga - 83.0%
12. Morogoro - 82.1%
13. Songwe - 81%
14. Kagera - 80.1%

Mikoa yenye idadi ndogo ya wakazi wake wanaojua kusoma na kuandika ni:

1. Tabora - 68.0%
2. Katavi - 70.4%
3. Rukwa - 74.1%
4. Simiyu - 75.0%
5. Dodoma - 76.3%
6. Kigoma - 76.7%
7. Geita - 77.0%
8. Shinyanga - 77.3%
9. Lindi - 77.6%
10. Mtwara - 78.0%

NB: Wastani wa Wanaojua kusoma na kuandika Kwa Tanzania Bara ni 82.8%, Wanaume - 86.6% na Wanawake - 79.2%
Screenshot_20241008-145745_1.jpg
Screenshot_20241008-144005_1.jpg
Source: PHC- Sensa ya Watu na Makazi 2022 by National Bureau of Statistics (NBS)

Pia, soma: Bungeni: Tanzania imefikia kiwango cha 83% cha kujua Kusoma na Kuandika miongoni mwa Watu wazima
 
kweli tangua nimeishi mbeya sikuwahi kukutana na mtu wa mbeya hajui kusoma either katoka mkoa mwingine

lakini nimeenda Tabora ndugu wakawa wananionaga genius kisa kusoma blogs za kingereza kusoma vitabu vya kingereza

wakawaita baadhi ya madogo ambao wanajiweza class kwao eti niwafundishe

aahhah Tabora hapana .

watu ni wengi hawajui kusoma wala kuandika kabisa majina wanasave kwa namba
 
Nina rafiki angu Jacob hajui kusoms
 
Back
Top Bottom