W Www99 New Member Joined Oct 13, 2016 Posts 3 Reaction score 1 Dec 1, 2016 #1 ningependa tuweke record sawa, ili kujua viwanda vipi vilikuepo na vipi vimeongezeka. Tukiacha dar es salaam napenda kujua ivi mbeya, Iringa na morogoro kuna viwanda vyovyote vikubwa? weka hapa list viwanda mkoani wako. tuchukue record
ningependa tuweke record sawa, ili kujua viwanda vipi vilikuepo na vipi vimeongezeka. Tukiacha dar es salaam napenda kujua ivi mbeya, Iringa na morogoro kuna viwanda vyovyote vikubwa? weka hapa list viwanda mkoani wako. tuchukue record