Mikoa midogo kieneo ni Dar na Kilimanjaro/Moshi

Mikoa midogo kieneo ni Dar na Kilimanjaro/Moshi

Kijana LOGICS

Senior Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
140
Reaction score
536
Mkoa midogo sana kieneo ni Kilimanjaro naa Dar.

Ki eneo Wilaya ya Misungwi+Ilemela = Kilimanjaro MZIMA.

Ki eneo Mwanza ni Sawa na Dar 27 kwa pamoja. Yaani ukiunganisha eneo la Dar Mara 27 ndo unapata Mwanza moja.

Dar 70= Rukwa 1.
Dar 75= Tabora moja
 
Vipi uko Zanzibar? Au unazungumzia bara tu kama, Tanzania mjini magharibi mdogo haswa
 
mkoa midogo sana kieneo ni Kilimanjaro n'a dar .

Ki eneo Wilaya ya misungwi +ilemela = Kilimanjaro MZIMA.

Ki eneo Mwanza ni Sawa na dar 27 kwa pamoja . Yaani ukiunganisha eneo la dar Mara 27 ndo unapata mwanza moja.

Dar 70= rukwa 1.
Dar75= Tabora moja
Umeandika utumbo, DSM km square area 1590, Rukwa km square 27765, sasa hiyo mara 70 ipo wapi hapa au una elimu ya madrasa tu?
 
umeandika utumbo, dsm km square area 1590, Rukwa km square 27765, sasa hiyo mara 70 ipo wapi hapa au una elimu ya madrasa tu?
Wewe Umetoa wapi hayo? Dar es Salaam ni 1393 na Rukwa ni 75,240
Sasa kama yeye kaandika utumbo wewe utakuwa Ni zaidi ya kinyesi
 
Mtoa post DAR UMEWAHI KUFIKA? AU UPO KWENU KOLOMIJE UNAANZA kutuandikia utumbo hapa?
 
Mkoa uliokuwa mkubwa zaidi ni Arusha ,ukagawanywa ila bado Arusha na Manyara zote zipo Top ten ya mikoa yenye eneo kubwa.

Lindi ni pori karibia 90%.
 
wewe Umetoa wapi hayo? Daresalaam ni 1393 na Rukwa ni 75,240
Sasa kama yeye kaandika utumbo wewe utakuwa Ni zaidi ya kinyesi
IMG_20231227_063948.jpg
 
Mkoa uliokuwa mkubwa zaidi ni Arusha ,ukagawanywa ila bado Arusha na Manyara zote zipo Top ten ya mikoa yenye eneo kubwa.

Lindi ni pori karibia 90%.
kuna nini lindi mbona haikimbiliwi sana ni mapori tu? Lindi ingefuatia dar kwa kwa kuwa zote ziko ukanda mmoja wa pwani
 
kuna nini lindi mbona haikimbiliwi sana ni mapori tu? Lindi ingefuatia dar kwa kwa kuwa zote ziko ukanda mmoja wa pwani
😂😂 Yaani lind sio mkoa labda wapewe masasi ila hamna kitu ,unaweza kujiuliza hawa watu chakula wanatoa wapi.
 
Back
Top Bottom