Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Dec 27, 2023 #21 Kingsharon92 said: Namba moja tabora ikifuatiwa na morogoro Click to expand... Kwa hiyo ukijumlisha Arusha na Manyara bado hazifiki kwa Tabora na Moro? Basi hiyo mikoa ni mikubwa sana kwa kweli.
Kingsharon92 said: Namba moja tabora ikifuatiwa na morogoro Click to expand... Kwa hiyo ukijumlisha Arusha na Manyara bado hazifiki kwa Tabora na Moro? Basi hiyo mikoa ni mikubwa sana kwa kweli.
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,099 Reaction score 25,347 Dec 27, 2023 #22 Kijana LOGICS said: Kamuuluze bibi yako Click to expand... Bibi yangu ameshafariki. Nijibu wewe.