Ndugu wanajamiiforums nina maoni yafuatayo kuhusu uchaguzi wa 2015:
1) CCM wamechakachua matokeo ktk majimbo ambayo CHADEMA ilishinda km TARIME, KIBAHA, S'WANGA, SEGEREA, K'MBONI, SHY nk. Sasa CHADEMA waende mahakamani.
2) Kuna mikoa inahitaji OPERATION ZINDUKA. Hii ni mikoa ambayo wananchi wake wako nyuma kimaendeleo km vile Morogoro, Singida, Tabora, Ruvuma, Mtwara, Lindi na Kibaha
3) Wananchi wajitokeze kuichangia CHADEMA kwa HALI na MALI.
CHADEMA ni MKOMBOZI WA WANANCHI na TANZANIA
Kama Chadema ni mkombozi wa wananchi na mungu ana kazi gani??????
Asante sana Tanga ndo namba mojaNa TANGA.....toka 1970s hakuna maendeleo lakini kila uchaguzi CCM wanashinda 100
Asante sana Tanga ndo namba moja
Unasemaje??Muheza.....ndio home
Vurugu gani unazungumzia! kudai haki au?Chadema ni chama cha vurugu.
Nawashauli jiungeni na chetu cha CUF kimejaa heshima
Kama Chadema ni mkombozi wa wananchi na mungu ana kazi gani??????
Ndugu wanajamiiforums nina maoni yafuatayo kuhusu uchaguzi wa 2015:
1) CCM wamechakachua matokeo ktk majimbo ambayo CHADEMA ilishinda km TARIME, KIBAHA, S'WANGA, SEGEREA, K'MBONI, SHY nk. Sasa CHADEMA waende mahakamani.
2) Kuna mikoa inahitaji OPERATION ZINDUKA. Hii ni mikoa ambayo wananchi wake wako nyuma kimaendeleo km vile Morogoro, Singida, Tabora, Ruvuma, Mtwara, Lindi na Kibaha
3) Wananchi wajitokeze kuichangia CHADEMA kwa HALI na MALI.
CHADEMA ni MKOMBOZI WA WANANCHI na TANZANIA
Chadema ni chama cha vurugu.
Nawashauli jiungeni na chetu cha CUF kimejaa heshima
Wewe umeamka usingizi nini??