Naishauri serikali, kuwepo na gates kwa ajili ya kupima wasafiri waingiao na watokao katika mikoa hiyo. Mfano Dar, gate za upimaji abiria wote ziwekwe kwenye njia zote za mabasi yaingiayo na kutoka Dar, hali kadhalika kwa mikoa yote, hii itasaidia kufanya mass testing na kuzuia uenezi kwenye mikoa mingine.