Mikocheni Dar: Machinga wapigana na mgambo

Mikocheni Dar: Machinga wapigana na mgambo

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Mapigano yameibuka Mikocheni eneo la Viwandani

Barabara ya Siwa Jijini Dar es Salaam baina ya raia wawili na Mgambo ambao walikuwa wakitekeleza zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara ambao wamesalia katika maeneo yasiyo rasmi ambapo chanzo cha mapigano hayo kinadaiwa kuwa raia hao wawili walikuwa wakiwazuia Mgambo hao kutekeleza majukumu yao.

Chanzo:- ITV

Migambo njaa
machinga njaa
Unategemea nini hapo
Mchawi wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe.

Umaskini ni laana tena ni mkosi.
Taifa maskini lazima watu wake waishi kama wanyama. Hawana utu, upendo wala furaha.
Kilicho baki sahivi ni kuiba, kutesa, kuua na kunyanyasa ili mtu au kikundi furani kipate...njaa ya umaskni ni mbaya kuliko hata ugonjwa wowote ule
 
Mapigano yameibuka Mikocheni eneo la Viwandani

Barabara ya Siwa Jijini Dar es Salaam baina ya raia wawili na Mgambo ambao walikuwa wakitekeleza zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara ambao wamesalia katika maeneo yasiyo rasmi ambapo chanzo cha mapigano hayo kinadaiwa kuwa raia hao wawili walikuwa wakiwazuia Mgambo hao kutekeleza majukumu yao.

Chanzo:- ITV

Au siyo bana? Huyo jamaa anayetumia hayo maneno ananikera sana! Au siyo bana?
 
wapewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine, wanadhani nchi hii kila mtu anaweza kuapanga bidhaa kiholelea tu kwa kigezo kuwa yeye ni mnyonge
 
Back
Top Bottom