Au siyo bana? Huyo jamaa anayetumia hayo maneno ananikera sana! Au siyo bana?Mapigano yameibuka Mikocheni eneo la Viwandani
Barabara ya Siwa Jijini Dar es Salaam baina ya raia wawili na Mgambo ambao walikuwa wakitekeleza zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara ambao wamesalia katika maeneo yasiyo rasmi ambapo chanzo cha mapigano hayo kinadaiwa kuwa raia hao wawili walikuwa wakiwazuia Mgambo hao kutekeleza majukumu yao.
Chanzo:- ITV