Anamuiga George Maratu wa itvvvvvvvv!
Hizo nakshi zake ambazo nyingine zina ladha ya ki-amu[kiswahili] na misemo ambayo imesahaulika ndiyo zinazotufanya wengine tufungue radio one/ITVUkweli mie nakereka na mikogo ya huyu mtangazaji anapoanza kuripoti habari za michezo. Anaweza kulembalemba almost dak 2 kabla hajataja tukio lenyewe. Sina shaka na uwezo wake wa kazi ya kuripoti ila mikogo imezidi mpaka anaboa!
Angalia tv nyingine na utuache tunaopenda tuendelee kufurahia mbwembwe za kivuyoUkweli mie nakereka na mikogo ya huyu mtangazaji anapoanza kuripoti habari za michezo. Anaweza kulembalemba almost dak 2 kabla hajataja tukio lenyewe. Sina shaka na uwezo wake wa kazi ya kuripoti ila mikogo imezidi mpaka anaboa!
unamjua yule jamaa wa kenya mwendesha kipind cha JICHO PEVU? basi ungemskiliza huyo kivuyo cha mtoto
Anamuiga George Maratu wa itvvvvvvvv!