Anapotaja neno Awali,bado ana ladha ya pekee yake mwacheni atie kogo katika kazi,wewe kwenye kazi yako vipi huweki kogo??
Msubiri kesho saa mbili usiku atavouelezea mchezo wa nani mtani jembe labda akae massari
Bravo Hemed
Sasa kama hizo timu siku zote ndio zinakaa mitaa hiyohiyo, akibadilisha akaongea vingine si atakua anadanganya???Awe mbunifu, sio lazima aongee yale yale kila siku. Lazima utamsikia: "Timu hiyo kutoka mtaa wa yule mnyama mrefu na mpole..." au "Timu hiyo kutoka mtaa wenye pilikapilika jijini..."
Hafai, anaonyesha wazi anapenda simba kitu ambacho hakitakiwi kwa mtangazaji
Yule ni Kandambili a.k.a Yeboyebo damu!!
Yanga a.k.a Timu ya Chama Twawala!!Ndio nini?
Kivuyo ni mtangazaji mzuri sana.
Kasemaje jamani?Namkubali sana.kivuyo ni Nouma Leo umeua