Mikoko ya mwanandinga wa Inter Milan McDonal Mariga AIBUUUU

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
McDonald-Mariga.jpg

Mcdonald-mariga-2.jpg

Mcdonald-Mariga-3.jpg
 
yah man ni mkenya......hakuna mwanandinga mbongo mwenye mkoko wa namna hiyo..never na haitatokea kamwe

Acha kuturusha brotherman YoYO aka Mkenya, Hasheem na mie mbona tunayo na tu Wabongo acha kukana wa kwenu
 
Hater, kaka ukijipa moyo

mie hater..hayo ndio mnayomuunga mkono hasheem angalieni alipo sasa hivi....

kwa taarifa yako hakuna mwanamichezo mwenye mafanikio tz kushindana na wakenya.......ww mwenyewe umekubali mkoko wa mac...

weka mikoko ya akina chuji na tegete tuone.....
 
Kesho nitakuwekea hapa ya China, Mogella, Kaseja, Masha, Lunyamila uone
 
yah man ni mkenya......hakuna mwanandinga mbongo mwenye mkoko wa namna hiyo..never na haitatokea kamwe
Mbona mimi nina scania 10 zinapiga trip za kwenda rwanda na burundi na sijachakachua Ma body
Je na mimi mnaniweka katika kundi gani??
 
mkuu mbona unakuwa na akili kama za wema sepetu??? wewe ni mwanandinga?
 
Back
Top Bottom