Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
yah man ni mkenya......hakuna mwanandinga mbongo mwenye mkoko wa namna hiyo..never na haitatokea kamweHongera zke.hardwork pays
yah man ni mkenya......hakuna mwanandinga mbongo mwenye mkoko wa namna hiyo..never na haitatokea kamwe
Acha kuturusha brotherman YoYO aka Mkenya, Hasheem na mie mbona tunayo na tu Wabongo acha kukana wa kwenu
hasheem sio mwanandinga....
wewe huna
Hater, kaka ukijipa moyo
Kesho nitakuwekea hapa ya China, Mogella, Kaseja, Masha, Lunyamila uonemie hater..hayo ndio mnayomuunga mkono hasheem angalieni alipo sasa hivi....
kwa taarifa yako hakuna mwanamichezo mwenye mafanikio tz kushindana na wakenya.......ww mwenyewe umekubali mkoko wa mac...
weka mikoko ya akina chuji na tegete tuone.....
Acha kuturusha brotherman YoYO aka Mkenya, Hasheem na mie mbona tunayo na tu Wabongo acha kukana wa kwenu
kesho ndio leo arifu.....naomba mapicha ya mandinga ya wanandinga wa bongo.....Kesho nitakuwekea hapa ya China, Mogella, Kaseja, Masha, Lunyamila uone
Mbona mimi nina scania 10 zinapiga trip za kwenda rwanda na burundi na sijachakachua Ma bodyyah man ni mkenya......hakuna mwanandinga mbongo mwenye mkoko wa namna hiyo..never na haitatokea kamwe
mkuu mbona unakuwa na akili kama za wema sepetu??? wewe ni mwanandinga?Mbona mimi nina scania 10 zinapiga trip za kwenda rwanda na burundi na sijachakachua Ma body
Je na mimi mnaniweka katika kundi gani??
Ninachezea veteranmkuu mbona unakuwa na akili kama za wema sepetu??? wewe ni mwanandinga?