Mikono kuuma hasa usiku

Mikono kuuma hasa usiku

kalendi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
1,334
Reaction score
527
Heshima kwenu wanajamvi!
Mke wangu mikono inamuuma sana kama inaunguzwa na moto hasha usiku.
Naomba msaada wenu wa kupata tiba kwani sasa ni miaka minne.
Naomba kuwasilisha kwenu!
 
Hili ttzo alikua nalo Maza nashukuru Mungu alipona coz ilifka mahali akawa anashndwa kutoka kabsa ndani. Ila sjajua dawa alipata wapi sbb alitumia dawa nying mno. Labda nikimulza ntakupa jb
 
Ata mie ili tatizo nilikua nalo kwa miaka km mitatu na likaenda mpaka miguuni na sometime nikalisikia hadi maeneo ya tumbo nshatumia dawa hadi nimechoka na hasa nyakati za usiki mh mtihani ila baada ya kuanza kutumia mafuta ya mzaituni(olive oil) yapo sana maeneo ya kariakoo karibia na misikiti basi namshukuru mungu hii hali ni kama imekwisha japo hua naisikia kwa mbali sana lakini sio km mwanzo...na unapaka tu km vile unaechua na hiyo hali itakwisha kabisa...
 
Nitashukuru sana Mkuu kama utamuuliza nakunijuza
 
Asante sana mkuu naanza kutumia leoleo ili nasi tupate nafuu!
 
Back
Top Bottom