Ata mie ili tatizo nilikua nalo kwa miaka km mitatu na likaenda mpaka miguuni na sometime nikalisikia hadi maeneo ya tumbo nshatumia dawa hadi nimechoka na hasa nyakati za usiki mh mtihani ila baada ya kuanza kutumia mafuta ya mzaituni(olive oil) yapo sana maeneo ya kariakoo karibia na misikiti basi namshukuru mungu hii hali ni kama imekwisha japo hua naisikia kwa mbali sana lakini sio km mwanzo...na unapaka tu km vile unaechua na hiyo hali itakwisha kabisa...