Mikono kuuma hasa wakati wa usiku

Mikono kuuma hasa wakati wa usiku

bbc

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2016
Posts
3,836
Reaction score
4,146
Naomba msaada wa tiba kwa mikono kuuma hasa wakati wa usiku (nikiishalala)
 
sehemu gani ya mkono inayouma?
inawezekana unalala sana, kulalia mkono, au hata sehemu unayolala huenda ni ngumu i.e godoro jembamba sana..... kama godoro limeisha nunua jipya mkuu
 
Sehemu ya viganja vya mikono
 
Back
Top Bottom