bbc JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 3,836 Reaction score 4,146 Oct 22, 2016 #1 Naomba msaada wa tiba kwa mikono kuuma hasa wakati wa usiku (nikiishalala)
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 Oct 23, 2016 #2 sehemu gani ya mkono inayouma? inawezekana unalala sana, kulalia mkono, au hata sehemu unayolala huenda ni ngumu i.e godoro jembamba sana..... kama godoro limeisha nunua jipya mkuu
sehemu gani ya mkono inayouma? inawezekana unalala sana, kulalia mkono, au hata sehemu unayolala huenda ni ngumu i.e godoro jembamba sana..... kama godoro limeisha nunua jipya mkuu
bbc JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 3,836 Reaction score 4,146 Oct 23, 2016 Thread starter #3 Sehemu ya viganja vya mikono