ANDERSON YM
Member
- Sep 5, 2016
- 76
- 32
Waungwana mikono yangu imekuwa ikiota sugu na kuwa migumu yaani imekomaa siyo kawaida wakati nafanya kazi za kawaida tu ambazo haziwezi kupelekea mikono yangu kuwa hivi.
Naombeni ushauri nitumie mafuta gani ili mikono yangu iwe laini maana hata ukisalimiana na mtu ni hatari. Nimejaribu kukata lakini baada ya muda inarudia.
hali yake ya kawaida
Naombeni ushauri nitumie mafuta gani ili mikono yangu iwe laini maana hata ukisalimiana na mtu ni hatari. Nimejaribu kukata lakini baada ya muda inarudia.