ANDERSON YM
Member
- Sep 5, 2016
- 76
- 32
PoaKuna mafuta ya hand lotion za oriflame nicheki 0717169545
Mi nalima sana kwa mikono,nalisha sungura na kusafisha mabanda kuku lakin mikono yangu ni raiiini kama bosi ya ofisi fulan hvi..tumia RINJU lotion mzeeUtakuwa una nyota ya kilimo
HahahahaaaaaaUtakuwa una nyota ya kilimo
MeWewe ni ke au me?
MwalimUngetuambia na aina ya kazi unayofanya ndg kwanza........maana kuna mazingira ya kazi yanachangia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utakuwa una nyota ya kilimo
Inapatikana wapi hiyoMi nalima sana kwa mikono,nalisha sungura na kusafisha mabanda kuku lakin mikono yangu ni raiiini kama bosi ya ofisi fulan hvi..tumia RINJU lotion mzee
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Kiganja chako kina M we utakuwa dili.
Ila usafr wangu pkpkAcha kufanya kazi ngumu au tafuta gloves za ngozi wakati unafanya kazi ngumu. Zitasaidia kupunguza msuguano kwenye mikono yako na vitendea kazi vyako...
View attachment 435096
Nimeishi mikoa kama mitano hv lkn nko vile via vile,sawa ntafanyia kazi ushaul wakoSehemu unaoishi labda maji yana kemikali inayokuharibu. Tumia gloves hasa unapofua au kuosha. Mara kwa mara chukua sukari kidogo kwa vidole tu kamulia limao fikicha iache kwa dk 5 kisha nawa na ujipake lotion ya kawaida
Punguza au acha kushika mafimbo na kuchapachapa.Mwalim
Piga nyeto mkuu, unapokaribia kumwaga kinga shahawa then pakaa mikononi kaa masaa mawili hadi matatu bila kushika maji fanya hivo kutwa mara tatu utaona matokeo ndani ya wiki mbili tu.Waungwana mikono yangu imekuwa ikiota sugu na kuwa migumu yaani imekomaa siyo kawaida wakati nafanya kazi za kawaida tu ambazo haziwezi kupelekea mikono yangu kuwa hivi.
Naombeni ushauri nitumie mafuta gani ili mikono yangu iwe laini maana hata ukisalimiana na mtu ni hatari. Nimejaribu kukata lakini baada ya muda inarudia.
hali yake ya kawaida