Mikono yangu inaota sugu, nitumie mafuta gani ili iwe laini?

Nimeishi mikoa kama mitano hv lkn nko vile via vile,sawa ntafanyia kazi ushaul wako
Kuna watu wana matatizo niliwahi ona mdada alikuwa hatakiwi kushika maji yalikuwa yanakausha ngozi mwili mzima kwa hiyo alikuwa anaoga mtindo wa kujifuta. Alikuwa anafuliwa mpk aliooenda sec sikufuatilia tena na sijui ilikuwa mzio wa aina gani. Ningekushaurei pia jaribu hosp
 
Umejiunga CHAPUTA?
 
Pole, hakikisha mikono yako iko moist muda mote uwe na hand lotion au mafuta ya vaseline. Pia unaweza nunua scrub au kutengemeza mwenyewe ya mafuta ya nazi/olive na sukari unachanganya na kusugua mikono then nawa na kupaka mafuta. Pia usiku hakikisha mikonono iko moisturized itabadilika. Pole
 
Pendelea kupaka mafuta baada ya kunawa mikono,anza hata na Vaseline tu..af mda unapaka fanya kama una massage hivi...endelea hadi utakapopata matokeo mazuri,
Km una kazi za mikono nyingi vaa gloves
 
ni nzuri sana mimi nilinunua Ebay inasaidia pia kwa mikono kama ni mikavu.uzuri uitumie asubuhi na usiku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…